KIONGOZI BORA WA KIROHO ANAVYOPATIKANA - MPONEJA BLOG

Latest

Monday, 25 December 2017

KIONGOZI BORA WA KIROHO ANAVYOPATIKANA

      KIONGOZI WA KIROHO ANAVYO PATIKANA;

Utangulizi;
              Kalibu kwenye makala hii ya mafundisho ya biblia kuhusu kiongozi bora wa kiroho, anavyoweza kupatikana. Sehemu hii, ina mafunzo ambayo yamethibitika kuwa na umaarufu sana na yenye kuhitajika sana kwa watumishi wa Mungu wanaoliongoza kundi la Bwana. Mafundisho haya yanatoa dira na kanuni ambazo kwazo mtu wa kawaida, anaweza akajikuta amekuwa kiongozi wa juu na mwenye mafanikio makubwa sana kiroho.
         Kiongozi aliye sitawi kiroho, ni lazima atekeleze matakwa ya Mungu ili kusababisha mapenzi ya Mungu yafanyike duniani kama huko mbinguni.
     Kwa hiyo mafundisho haya, ni ya mhimu kwa kila kiongozi wa kanisa anayetaka kuzidi sana kutenda kazi ya Bwana siku zote.
                          Twende pamoja sasa.
Kwanza kabisa kabla hatujaendelea mbele, ni vizuri kuelewa kwamba nini maana ya kiongozi.
      Ni mtu anayesimama mbele ya watu kuwaongoza ili kufikia malengo walionayo. Kuna uongozi wa kiroho   yaani mambo ya Mungu, na kuna uongozi wa kiroho wachafu yaani mambo ya   kishilikina na uchawi na kuna uongozi wa kiselikali. Ninachozungumzia hapa ni uongozi wa kimungu (kiroho) inaendelea

No comments:

Post a Comment